Posts

Zuchu set to rise under the auspices of Diamond Platnumz

 Tanzanian singer and songwriter  Zuchu  is bongo flava’s newest sensation who is fast becoming a formidable force. The ‘Wana’ singer is redefining the genre by positioning herself as one of the top female musicians in the country’s vibrant music scene.   The 23-year-old songstress made headlines when she inked a recording deal with  Diamond Platnumz ’s  Wasafi Classic Baby  (WCB), one of East Africa’s top record imprints. The label is now putting its machinery behind the promising musician in an unwavering effort to create the next influential artist – a similar role the recording stable played in producing a catalogue of prominent artists such as Mbosso,  Rayvanny  and  Harmonize . But her journey has only begun. Zuchu will on 18 July deliver her debut performance and also launch her breakout seven-track EP I Am Zuchu at Mlimani City Mall in her home town of Dar es Salaam. In the past three month...

Partoranking kadondosha ngoma mpya

 Abule ni moja kati ya nyimbo kali zilizowahi kuachiwa na msanii kutoka naijeria maarufu kwa jina la partoranking ambayo imeonesha kupendwa sana.abule inafanya poa sana katika mtandao wa audiomark ambapo imefikisha takribani wasikilizaji milion 50  Download hapa https://youtu.be/LB4k03Xcfwo

Lulu diva adaiwa kutoka kimapenz na TID

Image
  Ukaribu uliopo kati ya TID mnyama na mrembo sex divana maarufu Kama Lulu diva umesogeza wambea kuhisi Kama wawili hao wapo katika mahusiano ya kimapenzi. Akiongea na chombo chetu Cha habar Lulu diva amekanusha madai hayo na kusema ukaribu wao upo katika kazi na sio katika mapenzi Kama wengi wanavodhania alipngeza luludiva.

Siku ya habari duniani Katika chuo kikuu cha iringa ni noma.

 Wanafinzi wa idara ya uandishi wa habari katika chuo kikuu cha iringa wamefanya sherehe ya siku ya vyombo vya habari dunian ambayo hufanyika duniani kote mwezi may na iliyokwamishwa na janga la covid-19 na hivyo kufanya sherehe hizo kufanyika tarehe nane mwezi wa nane mwaka huu katika ukumbi wa Highland comference centre iringa mjini.sherehe hizo zilitawaliwa na vinywaji pamoja na mziki na kufanya wanafunzi hao kufurahia siku hiyo.