Lulu diva adaiwa kutoka kimapenz na TID

Ukaribu uliopo kati ya TID mnyama na mrembo sex divana maarufu Kama Lulu diva umesogeza wambea kuhisi Kama wawili hao wapo katika mahusiano ya kimapenzi. Akiongea na chombo chetu Cha habar Lulu diva amekanusha madai hayo na kusema ukaribu wao upo katika kazi na sio katika mapenzi Kama wengi wanavodhania alipngeza luludiva.

Comments

Popular posts from this blog

Partoranking kadondosha ngoma mpya

Zuchu set to rise under the auspices of Diamond Platnumz