Siku ya habari duniani Katika chuo kikuu cha iringa ni noma.
Wanafinzi wa idara ya uandishi wa habari katika chuo kikuu cha iringa wamefanya sherehe ya siku ya vyombo vya habari dunian ambayo hufanyika duniani kote mwezi may na iliyokwamishwa na janga la covid-19 na hivyo kufanya sherehe hizo kufanyika tarehe nane mwezi wa nane mwaka huu katika ukumbi wa Highland comference centre iringa mjini.sherehe hizo zilitawaliwa na vinywaji pamoja na mziki na kufanya wanafunzi hao kufurahia siku hiyo.
Comments
Post a Comment